Sijakusudia

Sijakusudia

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Sijakusudia

1 Sijakusudia
Jama nimeua
Sijakusudia
Ila najutia
Ninayo hatia
Naombeni msaada

2 Jama nimeiba
Sijakusudia
Sikuliridhia
Nipo na hatia
Naomba nisamehewe

3 Jama nimebaka
Kisa ni shakawa
Sababu ya hawa
Jama 'shapwelewa
Kwa sasa niozesheni

4 Jama nimekaba
Tendo la hadaa
Sababu ni njaa
Mimi nina baa
Naomba nihurumiwe

5 Jama niko uchi
Tena nahilika
Nina yayatika
Naomba nisaidiwe

6 Jama 'metukana
Kisa msichana
Tulipogombana
Na tukapigana
Sijakusudia
Naomba nisamehewe

Abuuabdillah[emoji3578][emoji1241]
0718569091
 
Back
Top Bottom