Kisha sema nywele za kwapa na za uvunguniUna maana gani unaposema kunyolewa? Ni huku kunyoa kwa kukata vinyweleo vya mwilini kwa kutumia wembe au ni lugha ya mafumbo ukimaanisha kitu kingine?
<br />Mhhh nina mashaka alipita kwa mshikaji wake jamaa akaona msitu akaamua kuunyoa akala mzigo ndo akaja kwako <br />
Unaibiwa mchana kweupe
Hebu msihukumu Kama mambo hamyajui. Kuna kitu kinaitwa wax kwa kiingereza au halawa kwa Kiswahili/ Kiarabu ambacho hufanana na asali au shira nzito ambayo hutumika kutoa nywele mwilini. Ngozi inakuwa smooth kwa utoaji huo na huchelewa kuota lkn ina maumivu.
Kuna njia nyengine ya kutolewa kwa laser pia japo nadhani hiyo Bongo kwenye saluni zetu haijafika
Kujinyoa mwenyewe tu unaweza kujikata..
Sasa kunyolewa na mwingine je?
sio rahisi kujikata,hawatumii viwembeKujinyoa mwenyewe tu unaweza kujikata..
Sasa kunyolewa na mwingine je?