Sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024

Sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA.

Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je, Serikali imeishiwa fedha?
 
Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA. Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je Serikali imeishiwa fedha?.
Uliambiwa subiri kuwa mvumilivu acha tumalize kwanza mambo ya maendeleo, utalipwa hela yako kwani haki ya mtu haipotei.
 
Back
Top Bottom