K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Aug 13, 2024 #1 Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA. Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je, Serikali imeishiwa fedha?
Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA. Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je, Serikali imeishiwa fedha?
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Aug 13, 2024 #2 koryo1952 said: Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA. Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je Serikali imeishiwa fedha?. Click to expand... Uliambiwa subiri kuwa mvumilivu acha tumalize kwanza mambo ya maendeleo, utalipwa hela yako kwani haki ya mtu haipotei.
koryo1952 said: Mimi ni Mstaafu ninalipwa pensheni yangu toka HAZINA. Mbona mpaka sasa sijalipwa pensheni yangu ya mwezi Julai, 2024 na leo ni tarehe 13.8.2024. Je Serikali imeishiwa fedha?. Click to expand... Uliambiwa subiri kuwa mvumilivu acha tumalize kwanza mambo ya maendeleo, utalipwa hela yako kwani haki ya mtu haipotei.