Ningetamani sana kama ningemsikia mgombea uraisi mwenye Sera kama vile:
. Kuweka wazi mshahara na marupurupu atakayojilipa
. Kusema atapunguza mshahara na posho zake
. Kupunguza ukubwa wa serikali
. Kupunguza idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge hasa viti maalum maana hawapo huru kutoa maoni yao has a yale yanaenda kinyume na vyama vyao.
. Kuwalipa mafao watumishi hewa
. Kurekebisha sheria ya fao la kujitoa