Sijamuelewa huyu jamaa

banizle

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2008
Posts
217
Reaction score
58
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.
 
Wanaume wa dar nasikia ni mfanya biashara mkubwa sana yule jamaaa
 
Mara Ibiza, mara Spain? Kwani Ibiza ni wapi?
 
Tatizo lenu mnadhani mtu akipata 1m basi anaiweka ndani,sio hivyo wanazizalisha na ndio maana hata wasanii wa nje wanamafanikio makubwa kwa maana ya kuwekeza sio tu muziki wasingekuwa hivo walivyo.
 
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.

Mbona ni kujipanga tu mkuu.......
Labda amesave ili atembee.......
Kwani unadhani kwenda Europe ni issue sana basi......ni kujipanga tu......
 
Mara Ibiza, mara Spain? Kwani Ibiza ni wapi?

Ibiza ni kisiwa maarufu sana ,kiko spain yaani huko ni kula bata mtindo moja na starehe zote zilizoko duniani ziko ibiza.karibu sana ibiza ule raha
 
Ibiza ni kisiwa maarufu sana ,kiko spain yaani huko ni kula bata mtindo moja na starehe zote zilizoko duniani ziko ibiza.karibu sana ibiza ule raha

Ukunielewa, mleta mada kasema mara Ibiza mara Spain, mi nikamuuliza kwani Ibiza ni wapi?
 
Nadhani yupo kwenye mipango ya kimaisha labda kuonana na stake holders.. Tujaribu ku think positive jamani..
 
Labda kapeleka 'viuwatilifu' Spain...si unasikia kuwa huko ni 'makutano junction' ya Mastaa na Wenye nazo...na ambao ndio wateja wazuri wa Viuwatilifu?
 
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Nilijua tu lazima wakimbiee.maana naona wanadiscus hii ya tatu.teh teh.
 
Huyu jamaa anasauti nzuri sana ya kuimba..Naona kama amekata tamaa ya mziki..Au anajipanga kurudi kama Jide..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…