Sijamuelewa mke wangu

Hahahah jamaa wananishangaza sana
 
Huwezi kumwelewa mwanamke katu...
Kwakua wao ndio chanzo cha hiyo misongo ya mawazo,homa kali,vifo,jela,uchawi nk.

KATAA NDOA,KATAA UTUMWA
Masikiniiiii ...Taifa kimejaa wanaume wazembe, wanaume walouacha Uanaume wao 😂😂

Sasa wanaume ,wanasingizia Wanawake .


Kizazi kimepoteza ungangari wa wanaume😂😂
 
Ni iviii iyo ni sababu tu ila akitaka kuliwa analiwa tu freshi mwache aende thn akifika mwambie akuwashie location uone akianzaa oohh juwa umeliwaaa
 

Oyaaa nmemwambia,... Demu anaenda kutombwa .. na Ile siku anaahirishaz ni kwamba ,mtombaji wakee alipata dharula ya kikazi, Ivo akaona asitishe zoezi.

Sasa mtombaji kaona ampeleke Mikumi na bahati mbaya sana, hamna Cha mikumi Wala nninatafutwa nafasi ya kutombwa usiku kucha kwakua mtombaaji wake Kila siku anamuimiza "NIMECHOKA kukutomba mchana, nataka tulale usiku, kama hutaki nikuache".
 
Jipeni moyo wanangu.
Muwe mnawashauri watoto wenu Hawa kiume ambao Kwa Sasa sio wanaume .

Inakera sana, kuona mwanaume anayejiita Mume, anaambiwa, Nitaendaaaaaa Sasa .er ananuniwa, anaogopa ugonv ,hataki Mke anune .


Hivo Hawa watoto wenu mmewalea vipi???

Mbona hawaeleweki kama wanaume au Wanawake ??.
 
Ukimchunguza nyuki hutakula asali. Mwanamke huyo anakushemu sana sasa usimbane mpaka akakuonyesha makucha yake. We mwache aende kokote anakotaka na kama anachepuka jua ameweka heshima sana kutumia huo utaratibu wa kukuaga. Na ye ni binadamu atajirudi tu ila ukidhan unaweza kumdhibiti utakosa familia na utatesa watoto. Binadamu ndivyo tulivyo. Unakuta una nguo nzur lakn unataman nyingne mpya, hata wewe ushapita na wapya wangapi ndan ya miaka 17?
 
Unaiacha ndoa yako ilodumu miaka kumi na saba kwa sabb za kipumbavu kias hicho.
Bro unamasihara ww.
 
Interesting.
 
Mwanangu unampandisha jazba mwana!!😂😂😂😂😂
 
Et kama bado unampenda mruhusu aendee na usimuhoji.


Hivo nyie mmeoa kweli na ukatoa Mahari??

Au ni jamaa tu mnaishi mjini, ukipata Dem ukapiga, siku imeenda??.


Umeoaaa???? Umeoa kweli???.
Sasa hata ukimkataza na kaamua kugongwa unadhani itazuia nini??
Ukiona vimekuelemea sana mnaachana.
Nyie ndio mnafanya ndoa zionekane ngumu. Ndoa ni mkataba kama mikataba mingine tu, ukiona huridhiki na muenendo wa ndoa yako mnavunja mkataba tu.

Sasa ya nini kujitia ushushu wa kumchunguza mtu mzima mwenye maamuzi yake??? Nyote ni binadamu huru hakuna anaemmiliki mwenzie.
 
Ampe uhuru wa nini? Hapo amwache kabisa

Wanaume siku hizi wanatepeta sana kwa hawa viumbe...eti ampe uhuru atombwe huko halafu aje kulala kitandani kwangu

Inasikitisha sana kuwa na kizazi cha wanaume wa aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…