Sijamuelewa mke wangu

Huu ni ushairi wa ovyo kabisa,yaani uchapiwe kijinga hivyo,huyo mwanamke anaenda kuliwa kimasihara,hakuna cha safari wala nini
 
Unaweza ukawa na vyote, pesa na nguvu na bado akakucheat.
Tatizo ni malezi.
 
Kommaaaaaaaa
 
Watu wanapenda ku complicate maisha. Maisha yenyewe magumu unatafuta stress za bure. Asipokuelewa basi
Kucomplicate maisha ni kuendelea kumng'ang'ania huyo ngisi anayetafuta kuchepuka kwa visingizio vya kijinga kabisa na kitoto. Jamaa amwache kwa talaka huyo ngisi aendelee na ratiba zake kwa nafasi na uhuru. Visingizio vya kitoto kabisa ngisi anatoa kama vile mtoto wa secondary anavyodanganya kwa wazazi apewe ruhusa ya kulala nje ya nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…