Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Kiukweli sijamuelewa Mrisho Mpoto na wimbo wake waite, maana sijajua analenga nini anaposema waite, wakalishe chini na kwamba waambie wao hawamo.
Alieyeelewa naomba anichambulie wimbo huo.
Nawasilisha
Alieyeelewa naomba anichambulie wimbo huo.
Nawasilisha