Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Kiukweli sijamuelewa Mrisho Mpoto na wimbo wake waite, maana sijajua analenga nini anaposema waite, wakalishe chini na kwamba waambie wao hawamo.
Alieyeelewa naomba anichambulie wimbo huo.
Nawasilisha
kiukweli binafsi sijahawi kuelewa wimbo wake hata mmoja toka nianze kumsikiliza, ngoja waje wanaomuelewaga wakueleweshe
i knew him personally,he was one of the nicest and funniest men out there,its so sad. Jana tulikuwa kwenye msiba huko Tegeta kwa mwanawe.Leo itakuwepo misa saa saba St Peters church,mazishi ni Iringa jumatano...Mungu ailaze pema peponi roho ya mzee wetu