Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Msikilize Mkulu hapa dk ya 11.40 anasema we want to export gas and import Urea! Kwa sie tunaojua potential za gas basi hapa tumeula wa chuya maana kwa maneno yake haya ina maana hamna mikakati ya kufanya value addition kwa gas yety maana kutengeneza mbolea Urea si kitu kigumu na inaweza tengenezwa humu humu ndani! naomba iwe hakumaanisha hicho alichosema, cha ajabu amepigiwa makofi!
Last edited by a moderator: