Komredi Kada mwenzangu, si tulisema alipiga Bapa kubwa akalewa, akaanguka, akavunjika mguu, na kalala kwake?Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo hayana vyama lakini unatafuta uwepo wa chadema msibani.Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Wanapiga kwanzaa HAPO UWANJANI KESHO KUMUAGA WAKITOKEA AIRPOTWana subiri wampokee lisu alafu wanaenda moja kwa moja lupaso
Wewe umeenda kwenye ibada ya wafu kuangalia wasiokuwepo au kumsindikiza mwenda zake?Wale wanaruhusiwa kuja baada ya ibada...... Lakini Freeman na mama Anna wanaabudu Kanisa moja kule kwa Dr Shoo!
Mbatia nimemuona yuko safu moja na mzee Mgaya!Maendeleo hayana vyama lakini unatafuta uwepo wa chadema msibani.
Wewe mbona sijakuona? Riz1 umemuona ? Miraji Kikwete? Sirro umemuona? RC wa Mbeya? DC wa iringa? Unaweza usiwaone lakini wapo msibani maana hawajaja hapo ili waonekane.
Kwani alishapona mguu wake?Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Lazima tuangaliane kwa sababu za kiusalama bwashee!Wewe umeenda kwenye ibada ya wafu kuangalia wasiokuwepo au kumsindikiza mwenda zake?
Umemuona kwasababu ameonekana mbele ya kamera akipokea sakramenti(Ekaristi takatifu).Mbatia nimemuona yuko safu moja na mzee Mgaya!
Alishapona!Kwani alishapona mguu wake?
Acha ushushu kama wa mrema kanisaniLazima tuangaliane kwa sababu za kiusalama bwashee!
Kwani mzee Mgaya anasemaje?Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Were ulienda kumtafuta Mbowe au ulienda kusali?
Mafisadi hayatoagi sadaka mkuu, huwa wanatoa changizo hadharani wakiwa wamening'iniza pesa kila mmoja aoneJitahidi kutoa sadaka
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ibada yenyewe ya RC Ni ndefu, na hizo nyimbo zao zisizobadlikaga miaka na miaka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora usiengeenda hapo ibadani umefanya kazi ya hasara..
Wenzako ibada inaendelea ww unaingia jf
Dini ni utamaduni, utamaduni huwa haubadiliki ikiwemo na nyimbo
Anasimamia mafundi wanafanya usafi nyumba anayoshukia lissuLabda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!