Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

Tunawasikitikia kwa upumbavu na ulofa wao, tungependa sana warudi kundini
 
Kwahiyo dini yako huwa inapiga nyimbo Kama TWANGA PEPETA ili msilale mnakata MAUNO TU?
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Aisee kumbe hukwenda kusali,ulienda kufanya sensa
 
Mleta mada Mbowe ni mume wa mtu na ana watoto wa kubwa,nakushauri endelea kudanga huenda ukawa mkwe wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…