Haujaulizwa kama ulikuwepo au uko wapi kwa sasa, acha kila mtu aamini anachopenda na KAMWE usiyaongelee ya watu usiyoyajua
Huyo jamaa n km huwa ana hasira na MboweMaombolezo ya kuaga mwili was mzee Wetu Uwanja was Uhuru yatafanyika kwa siku tatu. Waneweka makusudi ili atakayeshindwabkwenda siku ya kwanza Basi aende siku ya pili au ya tatu
Kwahiyo kumjaji Mbowe kutokuhudhuria Ni uchonganishi wenye hisia za kiitikadi ya vyama. Tutamjadili baada ya jumanne lkn Leo mapema sana
Si mlimvunja mguu nyie wenyewe!! sasa ulitaka atembelee tumbo msibani bwa shee!!Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
John Momose Cheyo umemuona?Bora usiengeenda hapo ibadani umefanya kazi ya hasara..
Wenzako ibada inaendelea ww unaingia jf
Simple! Nigeria.Ibadani ni nchi gani au mahali gani hapo??
Vipi ilikuwa ni lazima awepo?Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Anataka aanze kumuabudu MboweWere ulienda kumtafuta Mbowe au ulienda kusali?
Katika viongozi wote wa nchi hii ni huyo tu hakuonekana? Au alikuwa na speciality gani yy kulazimika kuonekana hapo? Nini kilikwama kwa kutoonekana kwake? Hata angekuwa Padre au Askofu, mbona mambo yameenda vzr tu bila uwepo wake?? Acha hoja za kitoto bwn!!!!Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kama ukomo wa mwenyekiti wa[emoji3577]. Umekimbia RCumeenda kumuabudu mwenyekiti wa maisha.Hiyo ibada yenyewe ya RC Ni ndefu, na hizo nyimbo zao zisizobadlikaga miaka na miaka.
Kama ukomo wa mwenyekiti wa[emoji3577]. Umekimbia RCumeenda kumuabudu mwenyekiti wa maisha.