Sijamwona huyu mwana JF mwenzetu anatumia jina la TINDO

simon mato

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
926
Reaction score
485
Ndugu wanajamvi,

Ni mda sanaa sijamwona huyu mwana JF mwenzetu anatumia jina la " TINDO".

Tuko tofauti kiitikadi ya uchama lakini ni mtu ambaye naheshimu sana mawazo yake hasa kwenye jukwa la siasa. Waga anajenga hoja vizuri sanaa na ana ushawishi mkubwa kwa hoja zake lakini ni mda sasa sijaona bandiko au comments zake ni nini kimemsibu? Mwenye mawasiliano naye atujuze basi.
 
tindo
JF-Expert Member
tindo was last seen:
Yesterday at 8:53 PM
 
tindo
JF-Expert Member
tindo was last seen:
Yesterday at 8:53 PM
Mbona yupo kimya nini kimemsibu mpaka anachungulia tuu na kuondoka sijamwona kwenye Uzi zote za Jana ambazo zilikuwa na mjadala mkali!
 
Back
Top Bottom