Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nimeangalia mpira wa jana sijaona kitu kipya cha kiufundi kwenye mchezo wenyewe zaidi ya ushabiki tu uliotujaa. Wachezaji walikuwa wanafuata mpira kila unapokwenda wala walikuwa hawakai kwenye nafasi zao. uwezo wao wa kudhibiti mpira, kupasiana,kushambulia na nidhamu ndani na nje ya uwanja ilikuwa ndogo sana. Mpira wetu kiwango chake bado kiko chini sana!!