Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

Unaweza kuwa sawa mkuu lakini ni kwa nini alikuwa anarusha risasi ovyo wakati alikuwa na kazi nazo baadae?
Nielewavyo mimi magaidi hufunzwa vyema kutumia silaha na moja ya mafunzo ni kutunza risasi na si kutumia ovyo.
Kwa nini alichukuw muda mrefu eneo la tukio wakati alikuwa akijuwa aende wapi na afanye nini na kwa nini hakutoroka wakati alikuwa na njia nyingi za kutoroka eneo la tukio? Najaribu kujiuliza tu
 
Umeshindaje kuona ugaidi wa Mbowe na kundi lake, hatushangai kutokuona hilo la mtu mmoja
 
Baada ya tukio hili!nimegundua Watz tunalindwa na Mungu tu na sio Polisi!!Polisi wetu ni wazembe sana!!!wanajua kupambana na vyama pinzani na sio uhalifu!!!KULIKUA KUNA HAJA GANI KUMUUA MTU ALIE SALIM AMRI????KAMA SIO UOGA NI NINI???ONA SASA WAMEKOSA UPELELEZI MZURI KWA KUMUUA HAMZA!!!ETI WANAIKAMATA FAMILILIA YA HAMZA NA KUIHOJI KWANINI WASINGE MKAMATA MHUSIKA????!!!
 
Kwa tafsiri hii, basi yule Mwenyekiti wa chama fulani, alietaka kulipua vituo vya mafuta na kuua wanasiasa kumbe kweli atakua ni GAIDI
Gaidi ni sirro aliyejitahidi kumlinda gaidi mwenzake kwa kumtoa uhai ili tusijue mengi. Checki kadi feki aliyyotengenezewa ili kuharibu ushahidi kwA kubumba uongo.
 
Kwa ufupi kabisa, ni kisasi kwa kunyang'anywa dhahabu zake na polisi! Kilangila.
 
Ohoo ndugu, Polisi walimuua kwa makusudi. Angebaki hai angefungua "Pandora Box"! Kilangila.
 

Huna unachojua bora ungekaa kimya tu...
 
Brother/sister aliehusika anajina la kiislam so Lazima neno ugaidi litumike fasta fasta. Ila tuache chombo vya Dola vifanye uchunguz labda jina la tukio litabadilishwa
 
Wewe ni msomi uchwara, unafahamu maana ya gaidi au terrorist? Umeeleza kwa kirefu hapo juu halafu unapinga kwamba tukio la Hamza sio la kigaidi! Kweli tukio hilo haliathiri usalama wa watu au jamii?! Hakuumiza au kuua watu?! Terrorism sio lazima itokee mara nyingi.
 
Usingemuua huyo jamaa ambaye hakuwa threat kabisa ungekuwa ushapata majibu ya maswali yako yote haya!!

Nafikiri kwa sasa unajutia missing all these important info by now.
 
Usipendelee kuandika sana ukiwa umelewa. Afadhali kulala kisha ukiamka uandike ukiwa na akili zako nzuri.
Mkuu una maana jamaa wakati anaandika alikuwa bwax.... ha ha ha ha
 
Mwamba sio gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…