Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

Acha wewe una taaluma ya usalama kwelii..?? Au ndio unataka kujidai na kaunda suit za mabibo
 

Juni 2015, huko Marekani mji wa Charleston ulio jimbo la Carolina ya Kusini, kijana mmoja mzungu aliingia kanisa la watu weusi na kuua kwa risasi watu 9. Msukumo wake (motive) ulikuwa chuki kubwa aliyokuwa nayo dhidi ya watu weusi.

Hilo ni miongoni mwa matukio makuu lukuki yanayotambuliwa rasmi na serikali ya huko kama ugaidi wa ndani (domestic terrorism).

Mwanzoni walikuwa wakitumia ainisho la “jinai ya chuki” (hate crimes), lakini walipobanwa na dunia wamekubali kuwa ni ugaidi wa ndani. Hata akiuawa mtu mmoja au muuaji kuwahiwa kabla hajafanya kitu, nembo ya gaidi anakuwa nayo hadi mahakamani (mashtaka).

Unatofautishaje maudhui ya tukio la Hamza na la Charleston? TENA kabla hata hatujathibitishiwa kwa nini Hamza alikuwa akilenga polisi pekee (polisi yeyote).
 
Hamza amekuwa mkweli kueleza hisia zake,hatukubaliani na namna polisi wanavyolinda usalama wa raia.
 
Ndio tunarudi palepale ugaidi ni nini sasa?
Kisasi chochote kwa serikali ni ugaidi maana serikali sio mtu. Na ndiyo maana Osama alilipua balozi ile ni serikali! . Tatizo ni kutokukubali ukweli huyu jamaa kafanya ugaidi. Na sio kweli kwamba ugaidi umeanzishwa na wamerekani.
 
Kisasi chochote kwa serikali ni ugaidi maana serikali sio mtu. Na ndiyo maana Osama alilipua balozi ile ni serikali! . Tatizo ni kutokukubali ukweli huyu jamaa kafanya ugaidi. Na sio kweli kwamba ugaidi umeanzishwa na wamerekani.
Kwahiyo jamaa alitapeliwa na serikali?
 
Hii inagusa kipengele cha jamii, magaidi hulenga jamii fulani kwa lengo fulani......
 
Binafsi nimekuelewa vizuri.

Hata hivyo tayari tumesha sikia habari kutoka kwa watu wa karibu inaonekana huyu jamaa baba yake alikua anamiriki migodi baada ya kifo Cha babaake ndugu wakagawana majukumu ya kusimamia mali za familia,.
na yeye alipewa jukumu la kusimamia mgodi uliopo mkoa wa shinyanga
Sasa Kuna siku askari police walienda kupiga sach nyumbani wakayakuta madini kg kadhaa wakaenda nayo pamoja na mmiliki
Baadae walimuacha na akaambiwa swala la mzigo litasubili uchunguzi
Baada miezi mitatu akaja kuambiwa mzigo wake haupo,
Sasa inawezekana ulikua mwanzo wa yeye kufanya alicho fanya
 
ugaidi ni neno ya kisheria kaangalie huyu jamma kafanya ugaidi na hii haina ubishi zaidi za ligi za mabishano tu
Hilo neno ugaidi lishakuwa kwamba halina tafsiri moja kila mtu analitumia kwa mtazamo wake na ndio maana watu wanabishana humu.
 

huna lolote,acha upuuzi wewe kima.

kama wewe ni mwana usalama basi ni uchwara kama unavyojiita.
video za huyu jamaa yenu siku moja labla ya tukio akicheza na pistol yake huku akiapa kwa allah unazo!!!au unaendela na uchwara wako hapa??
 

ndio nyinyi mnaohoji kwanini meli wakati inaanza kuzama watu wasichote maji wamwage nje!!!
ujuaji mwingi nao ni ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…