basi huna machoSijaona hoja ya Polepole inayohitaji watu kupoteza muda wao kuijibu!
Nimeipenda sura yako ya profile pictureSijaona hoja ya Polepole inayohitaji watu kupoteza muda wao kuijibu!
Ndo maana unaitwa kishimbe. Hakuna mshimbe anayeaminikaSijaona hoja ya Polepole inayohitaji watu kupoteza muda wao kuijibu!
Hata masikio yapo kama pambo tuu!basi huna macho
Hata akiwa nayo huwezi kuona!.basi huna macho
Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT.
Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa faili la Slowslow analo Dc Magoti sio kujibu hoja za Polepole.
Rostam Azizi ndio kachemka kabisa. Kwa jinsi alivyo na Cv mbovu kwenye ufisadi uliofanyika hapa nchini. Hapaswi kumuota Polepole mtu wa siasa za kimaslahi.
Nani sasa anaweza kupangua haya madongo anayoporomoa huyu kijana?
CCM haina na haijawahi kuwa na mwanachama mpumbavu km Polepole, kwanza hakuwahi kuwa CCM limeokotwa tu yule mshamba wa kisukuma.Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT.
Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa faili la Slowslow analo Dc Magoti sio kujibu hoja za Polepole.
Rostam Azizi ndio kachemka kabisa. Kwa jinsi alivyo na Cv mbovu kwenye ufisadi uliofanyika hapa nchini. Hapaswi kumuota Polepole mtu wa siasa za kimaslahi.
Nani sasa anaweza kupangua haya madongo anayoporomoa huyu kijana?
Watanzania wengi wana standards ndogo.Kiranga atabisha.
Kwani anaongea nn Cha kujibiwa?!!! Huyo ni wa kupuuzwa tu.Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT.
Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa faili la Slowslow analo Dc Magoti sio kujibu hoja za Polepole.
Rostam Azizi ndio kachemka kabisa. Kwa jinsi alivyo na Cv mbovu kwenye ufisadi uliofanyika hapa nchini. Hapaswi kumuota Polepole mtu wa siasa za kimaslahi.
Nani sasa anaweza kupangua haya madongo anayoporomoa huyu kijana?
MUHUNI Rostam FISADI naona amejitokeza.Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT.
Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa faili la Slowslow analo Dc Magoti sio kujibu hoja za Polepole.
Rostam Azizi ndio kachemka kabisa. Kwa jinsi alivyo na Cv mbovu kwenye ufisadi uliofanyika hapa nchini. Hapaswi kumuota Polepole mtu wa siasa za kimaslahi.
Nani sasa anaweza kupangua haya madongo anayoporomoa huyu kijana?
Utaonaje ilihali wewe NI brainlessSijaona hoja ya Polepole inayohitaji watu kupoteza muda wao kuijibu!