Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
RC Mtanda piga kazi usiyumbishwe na maneno ya wakosaji sisi ambao tunakufahamu tunajua wewe sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendo kwanza haupendi uonevu wewe unajali kuwaletea maendeleo wananchi tu ona sasa Mwanza ulivyobadilika baada ya kuingia wewe kuwa mkuu wa mkoa endelea kupiga kazi mkuu sie tupo nyuma yako tutakutetea mpaka tone la mwisho
Halafu anatokea mtu kutokana na visababu vyake uchwara anakuja huku kukuchafua wakati aisi tunajua wewe ni mpiga kazi usiependa makuu na wewe kazi mwanzo mwisho Mwanza tunakutegemea na pia Taifa tunakutegemea pia! Piga kazi bila kuchoka usiwasikilize wakosaji wako hao wana chuki na wewe.