Sijaona Mtu sahihi Uchaguzi Tff ni wale wale tu walioua mpira wetu!

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Nimepokea Maoni ya watu wengi sana wakiniambia kwann siongelei sana Uchaguzi wa Safari hii wa TFF wakati nlikuwa nampiga sana Malinzi na wakati ni Huu wa mabadiliko???



................... kwa wadau wangu Kwanza niwashukuru sana kwa kuona Nina umuhimu sana wa kutoa Maoni Yangu na mm


Jibu LA swali lenu liko hivi


Sijaona bado Mwenye zamira ya mpira wa Miguu na Uchaguzi umeshaisha na hao watakaochaguliwa wote ni walewale walioua mpira wetu



By *MOODY KABWE COMREDY*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…