Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Wavumilie tu..Maisha yamebadilika kidogo. Kesho kutwa wanatakiwa ada na vifaa vya shule! Wavumilie tuu kwa kweli
Acha kabisaaaWavumilie tu..
Ila jiwe kajua kuwakomesha
Nlizoea kuona watoto wakitembea kwa makundi barabarani, wamevaa nguo mpya wamesuka, wananunua vitu kama juice, biskuti, pipi etc
Kuenjoy.. Inaitwa kwenda "kutembea"
Jana wamepita wanahesabika... Kumi hawafiki
Leo sijaona kabisaa
Kwakweli sikukuu imekua ya kinyonge
Mliofanikiwa hongereni na mshukuru
Siku hizi hakuna watoto wa kutembea barabarani kama nyati.
Mwaka umeisha vibaya huuWazazi wa sikuhizi wabahili + hali ngumu
Tafuta picha za rock city mall Mwanza