mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Hii labda kwa sababu ya akili yangu mbumbumbu,sina taarifa au picture ya kilichotokea mwaka 2015-2020 perception yake naiona vibaya? Au kwa sababu nimehisi dhamira za wenye nguvu ziko kinyume na wanavyoutangazia umma? Bado sijajua.
Mimi ushauri wangu ili mpambano uwe sawa, there should be equal ground from the beginning, vinginevyo we are going to face democratic disaster.
Haiwezekani mtu anataka mshindane halafu akukaririshe maneno ya kuongea na wewe upo tu ...unahisi kutakua na maajabu, haiwezekani uchaguliwa muda wa kuwasiliana na hadhira yako na wewe Bado haujashtuka tu, haiwezekani wakati unaingia ulingoni umezoofika haujala siku saba halafu unapambana na Tyson Furry?
For me that's cheap strategy; they just need justification that we held general election, now the question to spectators are you going to part of this play? Kwani maandeleo hayawezi kupatikana bila kukandamiza democracy, rule of law au human rights?