Dah kaka hata ISIS huwafaham.
ISIS ni kundi linalotumiwa na US mzee.
UK iliikamata meli ya Iran kwa kusingizia kuwa hyo meli imeingia western marines kimakosa na imekatazwa kufanya bishara.
Na mafuta wala hayakua yakienda Syria.
Maana Syria ilishaachwa yani umbali wa UK na Syria wapi na wapi kaka ilhali meli imekamatiwa maeneo ya Gablattar???
Na baada ya hapo Iran ikaiteka meli ya UK ilokatiza strait of homuz wakakubaliana kila mtu aachie meli ya mwenzake.UK akakubali lakini USA akashinikiza ishikiliwe km ikiachiwa taifa lolote iikamate.
Iran hana analolitaka kwa USA miaka nenda miaka rudi.
Iran baada ya USA kujitoa ktk mkataba ama makubaliano ya JCPOA US alimshinikiza Iran akae nae mezani ila Hassan Rouhani amesema hatakaa na mtu yeyote ima US irudi JCPOA ama ipunguze vikwazo.
Iran ina miaka takriban 40 ina vikwazo vya USA toka mwaka 1979 na USA anataka kufanya regime change abadilishe uongozi wa kishia apandikize uongozi wake.
Asa kama haujui VLADIMIR PUTIN ANAUZA SILAHA NA TEKNOLOJIA YA SILAHA IRAN IKIWEMO CHINA SERIKALI YAKE INANUNUA MAFUTA NA INAUZA SILAHA IRAN.
JE HILO JAMBO DOGO???
KAKA CHINA NA URUSI NDIO RIVAL WA USA YANI WAKIDINDA USA HANA CHA KUFANYA.
REJELEA MGOGORO WA SOUTH CHINA SEA USA ILIPELEKA BATTLE SHIP ZAKE WAKISEMA CHINA IACHIE UKANDA WA SOUTH CHINA SEA UWE FREE FOR INTERNATIONAL NAVIGATIONS LAKINI ALICHOTISHWA USA HAKUTHUBUTU KUBAKI.
USIMCHUKULIE CHINA NA USA POA WANA UBAVU KAKA.
Despite sanctions, China is still doing (some) business with Iran
The relationship between China and Iran goes back thousands of years, but has come under greater scrutiny since the United States withdrew from the Joint Comprehensive Plan of Action (JCPOA). The US re-imposition of sanctions on Tehran has many worried that China would provide Iran an economic lifeline, as it did in the lead-up to the JCPOA. On September 25, the US blacklisted Chinese companies for importing Iranian oil in violation of US sanctions for the second time in three months, seemingly confirming these concerns. With that in mind, how much has China helped Iran since the US withdrawal?
Since the US pull out from the JCPOA in May 2018, China has continuously declared its intention to uphold the deal and protested Washington’s unilateral actions. It even said it will continue trading with Iran, even though it would be susceptible to US sanctions.
That being said, the most important aspect of the China-Iran relationship is Beijing’s oil imports. From 2017 through September 2018, China imported at least 630,000 barrels per day (bpd) from Iran. In anticipation of the US reintroducing sanctions on Iran’s oil sector in November 2018, China reduced its purchases of Iranian oil by about two thirds in October.
Days after the reintroduction of oil sanctions, the US
announced that eight countries—including China—were receiving waivers allowing them to purchase Iranian oil for 180 days. China’s waiver reportedly allowed it to import 360,000 bpd, but Beijing resumed imports of at least
390,000 bpd in November. By March, China was importing over
613,000 bpd and in April its imports reached 800,000 bpd or more as the waiver period came to a close.
After the waivers expired in May, China stopped importing Iranian oil at first, but soon resumed taking shipments. Reports suggest that China imported between 163,000 –
186,000 bpd in June, 101,000 – 226,000 bpd in July, and
105,000 – 186,000 bpd in August.
Data presented is the monthly average of open-source reports of China’s imports. Sources include Reuters, TankerTrackers.com, Bloomberg, Refinitiv, and others.
*Sanctions on the Iranian oil sector are re-imposed; China is granted a sanctions waiver.
** Sanctions waivers expire.
While the blacklisting of Chinese companies proves that at least some of China’s oil imports violated sanctions, it’s ambiguous how much of the imports were violations. For example, the waiver volume supposedly does not include oil that Chinese state-owned Sinopec and China National Petroleum Company (CNPC) are entitled to as part of investment deals dating to 2016 and earlier.
Another reason is that it’s unclear whether the more than twenty billion barrels of Iranian oil sitting in bonded storage in China violates sanctions. Most of this oil has not passed through local customs and is still owned by Iran, leading some to believe it’s not a violation. It’s also possible that Chinese imports are higher than public estimates, as Iranian and Chinese tankers have tried to evade sanctions by turning off their location transponders and changing their names for example.
It’s worth noting that bilateral trade has also fallen drastically. Chinese imports of Iranian goods fell almost 70 percent from October to December 2018. Between October 2018 and February 2019, Chinese exports to Iran dropped from $1.2 billion to $428 million. While bilateral trade did
increase leading up to the oil waiver’s expiration, it cooled
HABARI HII HAPA INAELEZEA LICHA YA VIKWAZO BADO CHINA INAFANYA BIASHARA NA IRAN.
isome hiyo article vema kaka utatambua kuwa China sio kipolepole.
Kaka, kumbuka yanayofanya biashara ni makampuni sio nchi, makampuni ya China na Urusi karibu yote yamesitisha biashara na Iran kwa kuogopa vikwazo vya Marekani. Kumbuka marekani iliruhusu nchi za India, China na Japan kuendeleza biashara kwa muda wa miezi sita, muda ulipoisha, makampuni yote ya China yaliacha.
Kama makampuni ya China na Urusi yangeendelea kufanya biashara na Iran kama unavyodai wewe, basi Iran isingehitaji chochote toka Marekani, wala hivyo vikwazo visingekuwa na athari yoyote kwa Iran.
Sasa hivi Iran inauza mafuta yake kwa siri sana, ndio sababu ile meli iliyokamatwa na Waingereza, ni kwasababu waingereza waliokuwa na wasiwasi kwamba inaelekea Syria kuwauzia ISIS, kumbuka ISIS ni kundi la kigaidi lilowekewa vikwazo na UN, baada ya Iran kuthibitisha kwamba ilikua haiendi huko, iliachiwa.
Kaka una taarifa yoyote ya mauzo ya mafuta, au biashara yoyote kati ya Iran na China baada ya ule muda uliotolewa na USA kwa China, India na Japan?.
Iran ilikodesha mantank Mengi sana ya kuhifadhi mafuta yao ndani ya China, kama mikakati ya kibiashara na Ulinzi, kwahiyo huwa meli za Iran hupeleka na kuhifadhi katika hayo mantank huko China. Marekani wameweka watu kufiatilia ni kampuni gani inayonunua hayo mafuta, hivi tynavyizungumza, hayo mafuta yananunuliwa na North Korea pekee.