Sijaona Tatizo kwenye wimbo wa Diamond wa Hallelujah

Usangu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
826
Reaction score
450
Ndugu wanaJF, nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa.

Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu ambao wanajaribu kufikia level za kimataifa.

Nahisi itawapendeza sana Sizonje na Team yake wanamuziki wote mkianza kuimba CCM ni nambari one na mingineyo ya kumsifia Sizonje.

Huko ndiko tuendapo.
 
Mkuu, Serikali imeshaamua. Kama unampenda Domondi, mtafute mkanywe chai. Halafu, hili jambo linakuwaje la kisiasa hadi liwe hapa?

JUKWAA LA SIASA
Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
It seems like you are growing up!
 
Pengine ni hilo neno 'alelluya'.Lina matumizi yake maalum kwa watu maalum.Pengine BASATA, ikiwakilishwa na naibu waziri iliona kama Diamond anawadhihaki watumiaji halali wa neno 'alelluya'
 
Mkuu, Serikali imeshaamua. Kama unampenda Domondi, mtafute mkanywe chai. Halafu, hili jambo linakuwaje la kisiasa hadi liwe hapa?

JUKWAA LA SIASA
Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwani wewe unaona haya maamuzi ni ya kitaaramu au kimaadiri. Mbona kunamiziki mingi ya hovyo imeachwa. Ukiangalia kwa jicho la tatu hapo ni fully politics.
 
Hiyo ni Boshen alikuwa anatafutwa Roma na ney wa Mitego!

Alafu wameshapatikana, then kinachofiatia kwa Hallelujah ni nini????
Katika Abam anayokwenda kuizindua na huu wimbo upo, itakuaje sasa????
 
Kwani wewe unaona haya maamuzi ni ya kitaaramu au kimaadiri. Mbona kunamiziki mingi ya hovyo imeachwa. Ukiangalia kwa jicho la tatu hapo ni fully politics.
Kwenu wapi kaka?! Matumizi ya "R" & "L" yanakuhangaisha kuwa makini, humu wanasoma wengi.
 
Mkuu, Serikali imeshaamua. Kama unampenda Domondi, mtafute mkanywe chai. Halafu, hili jambo linakuwaje la kisiasa hadi liwe hapa?

JUKWAA LA SIASA
Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
its seem like your out of reality mkuu... siasa is everything tukikuuliza siasa ni nini utatujibu nini au unahisi siasa ni discussion ya ccm cuf Act na chauma? Dont you know its politics that made this decision ya kufungia hizi nyimbo... unaelewaje sera ya kuendeleza vipaji na sanaa inapitishwa na nani kama si wanasiasa.. hapana mm napingana na wewe kuhusu kukataa jambo hili kuingizwa kwenye jukwaa hili.. nieleweke wazi kuwa sipingi maamuzi ya kufungia hiyo nyimbo kwani wanasababu zao na waliofungia wanamamlaka ya kufanya hivyo ila napinga perspective yako towards the word siasa..
 
Sawa. Nikuache na everything is politics
 
Ila ni sawa acha wafungiwe ingawa basata wamechemka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…