Sijapata kuona!

Tanzania tunateseka?
Una uhakika?

Kuna mateso sana hapa duniani na kuna nchi kweli watu wake wanateseka lakini siyo Tanzania. Chunga kauli yako mkuu.
 
Tanzania tunateseka?
Una uhakika?

Kuna mateso sana hapa duniani na kuna nchi kweli watu wake wanateseka lakini siyo Tanzania. Chunga kauli yako mkuu.

We nawe sijui umekula maharagwe ya wapi wewe.....
Wenzio tuko katika jokes we unaleta mahubiri yako..
Peleka ushamba wako huko

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Hujalazimishwa kucheka mshamba wewe....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
We nawe sijui umekula maharagwe ya wapi wewe.....
Wenzio tuko katika jokes we unaleta mahubiri yako..
Peleka ushamba wako huko

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Chief Engineer katika ubora wako. Naona unatoa cheche balaa. Happy New Year mkuu....

NB: Jokes wakati mwingine huakisi ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
_*Ni Tanzania pekee, unamwambia mtu jinsi umeteseka katika maisha na yeye hapo hapo anajibu*_ *"haujasteseka kuliko mimi"* Utafikiri kuteseka ni mashindano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu we red scorpion ID name yako Ni kama chupi ya kike (bikini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…