Mwafrika Halisia
Member
- Feb 14, 2022
- 62
- 95
Wakuu habari za saa,
Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry .
Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma.
Lakini tangu nilipofanya application mwezi wa nane mwaka huu hadi Leo hii batch zote zilizotangazwa simo ilihali niliweka viambatanish vingi Kama death certificate pamoja na tasaf ili kuthibitisha hali yangu ya kiuchumi pia nimesoma shule za serikali.
Ila nashangaa account yangu bado haionesh allocation wakuu shida itakua Nini ndugu zangun
Na ilihali nimeshafika chuoni .