Sijapenda hicho wanachomfanyia Sabaya

Hatari sana...!

Katika maisha yako yote, jitahidi kujiepusha na midomo ya watu usije ikakusema kwa mabaya yako, maneno huumba, muda mwengine dhulma hazifai.

KARMA IS REAL...!
 
wanajuana hao ndugu moja, hata yeye mwenyewe anajua wanachofanya ndugu zake...anajua malipo yake ni makubwa baada ya hiyo kazi lakini pia ni sehemu ya kazi yake...... public fekero...
 
Sheria ndio iko hivyo, angetaka kufungwa muda mfupi, alitakiwa afanye kosa lenye adhabu ndogo kwa mujibu wa sheria.
Kuna wakati sheria ni kipofu.
miaka 10 ina afadhari kidogo.
Ila sio 30.umri wa mtu huo anazaliwa mpaka anakuwa na familia.
 
Pumbavu kabisa, wakati anaibia watu na kudhalilisha nyie si ndo mlikuwa mnafurahia!

Au wewe ndo ulikuwa kimada wake, mnakula hela za dhuluma! Mfuate gereza la kisongo kama imekuuma sana
Mambo ya kuanza kutukanana sii uungwana ndugu. Embu tumia lugha ya staha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…