Sijapenda hicho wanachomfanyia Sabaya

Ndio maana wanawake kazi yenu Ni kupelekewa Moto na kusonga ugali
 
Sabaya ni chambo na mpango madhubuti wa kumpiga mwenyekiti wa chama mvua za kutosha wanajua wanachokifanya yetu macho masikio muda kichaa msafi nimemaliza
 
Sabaya ni chambo na mpango madhubuti wa kumpiga mwenyekiti wa chama mvua za kutosha wanajua wanachokifanya yetu macho masikio muda kichaa msafi nimemaliza
Hakuna habari ya chambo, Sabaya amehukumiwa kivyake na huyo mwenyekiti atahukumiwa kivyake.

Huyo mwenyekiti hii sio kesi yake ya kwanza, alishawahi kuwa na kesi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…