Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman.
Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22 kwasababu ya msalaba kifuani upande wa kulia. Barcelona itambue ina mashabiki wengi wa imani tofauti. Kweli imeniuma klabu yangu pendwa kufanya hivi.