Sijapendezwa kabisa na kufurahishwa na Jezi mpya za Barcelona

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
396
Reaction score
966
Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman.

Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22 kwasababu ya msalaba kifuani upande wa kulia. Barcelona itambue ina mashabiki wengi wa imani tofauti. Kweli imeniuma klabu yangu pendwa kufanya hivi.

 
ITALY Jezi mpya ya Intermilan imekaa tofauti kabisa PIRELLI siyo tena mdhamini na wamebadilisha nembo. Pia nimeipenda sana jersey ya Juventus
 
Barca haiajawahi kuwa na jezi inayovutia, shida ni yale marangi hayaendani "Blaugrana"
 
Kwanza fahamu tu kuwa hiyo alama ya msalaba mwekundu ni alama ya taasisi ya kimataifa katika kuokoa na kusaidia mahali penye majanga.

Pili ni alama iliyopo kwenye bendera za nchi ya uswisi japokuwa ni rangi nyeupe.

Mwisho waza pia kuhusu jezi zenye alama za nyota, nyoka, silaha, pombe nk. Vipi kwa watu wengine wenye mitazamo tofauti ya kiimani?
 
Mkuu kwani ule ni msalaba au alama ya kujumlisha???
Huenda shida inakuwa kwenye kutafsri??
 
Hivi shuleni ulipotakiwa kuweka alama ya + ulikuwa unaweka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…