yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Kama yanga imeingia botswana ikiongoza bao 2 ,alafu wanaongeza bao moja ugenini then wanapanic kiasi kile baada ya bdf kusawazisha,wanashindwa kuweka mpira chini na kurilax,wanabutua ka vile hapana,in future wajirekebishe,lazima tuwe wa kweli bdf ni tim dhaifu kuna timu ngumu zinakuja kama wanataka kufika mbali wabadili uchezaji waache kucheza ka wanacheza na mbeya city.
..wajifunze kuaply aina ya uchezaji kulingana na matokeo na aina ya timu ,huwezi kubutua mbele na kucheza kwa presha nyingi ka vile unatafuta kusawazisha wakati unaongoza na dakika zilizobaki ni chache,kama kungekuwa na dk 10 mbele yanga tungetolewa