Sijasikia popote Papa Francis aliposema waache kupigana, ameishia kuwaombea amani tu

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu.

Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana.

Haya ma observation yangu msinitukane.
 
Kwa hiyo ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikiri?
 
Sio Kila mtu anawaza kama wewe,
Au kwa maneno mengine ni kwamba watu tunawaza tofauti.
Kuombea amani maana yake watu wasipigane.
Amani ikija maana yake mapigano yatakoma.
 
Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu.

Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana.

Haya ma observation yangu msinitukane.
Hebu tupe maana ya neno AMANI.

Mimi navyojua penye AMANI hakuna vita/mapigano

Hizi shule siku hizi mnafundishwa nini?

Basi hili nalo mkalitazame

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hawa ni wale Shamba boy sasa wana milik smart phone
 
Back
Top Bottom