Kwa hiyo ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikiri?Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu.
Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana.
Haya ma observation yangu msinitukane.
Hebu tupe maana ya neno AMANI.Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu.
Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila kuacha kupigana.
Haya ma observation yangu msinitukane.
Hawa ni wale Shamba boy sasa wana milik smart phoneHebu tupe maana ya neno AMANI.
Mimi navyojua penye AMANI hakuna vita/mapigano
Hizi shule siku hizi mnafundishwa nini?
Basi hili nalo mkalitazame
Au nasema uongo ndugu zangu?