richard fuim
Senior Member
- Sep 14, 2014
- 102
- 3
nilifanya 2nd appl udom coz ya comp science nikaambiwa u have been selected in my tcu profile bt majina yalipotoka nikakuta majina saba tuuu bt heading yao ilikuwa BATCH ONE watu wanasema wanaweza kutoa BATCH TWO bt muda unazid kwenda cjajua y sasa nashndwa kulala nko njia panda kama watatoa au la coz maandaliz ni muhm hasa kwa watoto wa wakulima kama mm.
Jamani naomba ufafanuz wa kina kwa mwenye taarifa au uzoefu ktk jambo hli niwe na amani.
Jamani naomba ufafanuz wa kina kwa mwenye taarifa au uzoefu ktk jambo hli niwe na amani.