Sijawaelewa hawa UDOM jamani

richard fuim

Senior Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
102
Reaction score
3
nilifanya 2nd appl udom coz ya comp science nikaambiwa u have been selected in my tcu profile bt majina yalipotoka nikakuta majina saba tuuu bt heading yao ilikuwa BATCH ONE watu wanasema wanaweza kutoa BATCH TWO bt muda unazid kwenda cjajua y sasa nashndwa kulala nko njia panda kama watatoa au la coz maandaliz ni muhm hasa kwa watoto wa wakulima kama mm.

Jamani naomba ufafanuz wa kina kwa mwenye taarifa au uzoefu ktk jambo hli niwe na amani.
 
Tayari tcu wametoa link ambayo unaweza kujuwa kama umechaguliwa au la UDOM.
 
my form 4 index no z S0766/0126/2011 plz nisaidie mkuu hapo
 
form 4 index namba n S0766/0126/2011 nisaidie kuchek mkuu

First NameMiddle NameSurnameSexIndex NumberDegree ProgramInstitution Selected
RICHARDGISBERTHFUIMEMS0766/0126/2011Bachelor of Science in Computer ScienceUniversity of Dodoma
 
Pole sana,hata mdogo wangu imemtokea hiyo ila kama account yako ya tcu inaonesha ushachaguliwa we anzaga maandalizi tu lazima watatoa batch nyingine
 
daaaah first of all thanks to almight GOD n 2nd thanks to u mkuu GOD BLESS U N UR FAMILY cna cha kukupa joh ahsante sana mr creative
 
oraaaaah nimepata chuo kwalele kavp mchek na mdogo wako wadau wakusaidie kuchek thanks to jf AMAN SANA
 
ahsanten wadau naomben link kuna raia wanataka wachek nao pia
 
namim jaman nisaidien huyu ndugu yangu S1633/0005/2011 alichagua BA of sociology udom
 
namim jaman nisaidien huyu ndugu yangu S1633/0005/2011 alichagua BA of sociology udom


[TABLE="width: 894"]
[TR]
[TD]AMINA [/TD]
[TD] A [/TD]
[TD] MOHAMED [/TD]
[TD] F [/TD]
[TD] S1633/0005/2011 [/TD]
[TD] Bachelor of Arts in Sociology (BA - SO) [/TD]
[TD] University of Dodoma [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
ingia tovuti ya udom utakuta namba za simu alafu wasiliana nao utapata taarifa kamili kuhusu wewe
 

msaada. Emmanuel Elias Ng'hwaje
4m 4 index no. s2593/0058/2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…