Kama unajijua uliomba wewe beba vyeti vyako nenda.
Mengine yatajulikanaga hukohuko.
Sasa hapo umelenga maana niliomba lakn nipo kijijini sana wilaya ya Uyui mkoani Tabora!
mi nadhan ingekuwa vyema kama wangetoa shortlist ya watu watakaofanya hiyo interview na si kuwaita wote walioapply,huu ni uzembe mkubwa sana!!!!!
yale yalee ya nssf, ssra, pssf ... Kama upo mbali thnk twice !
Wakitoa shirt list mnasema kujuana, haya wamewaita wote vile vile hamtaki wabongo bwana
samahani mkuu! kwani nssf,ssra na pssf ilikuwaje? mana na mimi nataka kwenda kufanya interview ila niko mbali
we nenda kajaribu hawa wanaweza kuwa fair, huwez jua. Ila nssf waliita watu weng ila walopata kaz hata interview hawakufanya.
hii kali usafiri kutoka kigomakwa ajiri ya usaili kati tayari wanawatu wao, polen wapendwa,