SIJAWAELEWA TFF

mud-oil-chafu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2020
Posts
587
Reaction score
954
Nilipokuwa mdogo baba alikuwa akinipenda sana Mimi kuliko ndugu zangu wengine , lakini alinipenda tu na hakuwahi onesha upendeleo wa wazi ..TFF mmefeli katika hili ...huenda timu nyingine za ligi kuu hazina kura ya veto TFF
 
Kwa ratiba au wa ruhusa ya mashabiki?
 
Nominations ya tuzo na vigezo, viporo , mashabiki ligi ya mabingwa
Unachotaka kusema ni kwamba TFF ilizikataza Azam, Biashara na Yanga kuingiza mashabiki uwanjani (kwenye mashindano ya CAF) ila TFF hiyo hiyo imeziruhusu Azam, Biashara na Simba kuingiza mashabiki uwanjani ?
 
Nop... TFF inasaidia timu kuishawishi CAF ... Iliuchuna Mara ya kwamza... Hizi tuzo hizi wametumia vigezo gan kuwapata washindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…