Fungua genge la ndizi na mbogamboga linakufaa,kwa mtu mweledi wa mambo hubuni jambo na kutafuta ushauri na si kuomba msaada wa kubuniwa jambo,duh hata hilo genge litakushinda wewe!
Fungua genge la ndizi na mbogamboga linakufaa,kwa mtu mweledi wa mambo hubuni jambo na kutafuta ushauri na si kuomba msaada wa kubuniwa jambo,duh hata hilo genge litakushinda wewe!
Wakuu nimejichngisha na nimepata 1.2 nifanye biashara gani coz sijawah hata cku moja kufanya biashara naomb mawazo yenu wakuu nipo hapa Dsm...!!
Achana naye watu km hawa wapo kila sehemu...!!
asante mkuu nayashughulikia mawazo yko na nita kujurisha unishauri zaidi.kiuhalisia kusema ufanye aina gani ya biashara ni ngumu ila naweza kukupa mawazo halafu uangalie mwenyewe,pata
wazo la biashara kwa kuangalia eneo ulilopo mfano labda nyumbani unapoishi angalia ni kitu gani kinakosekana
hapo mtaani kwenu na hicho kitu kinahitajiwa sana na wengi na wakati mwingine hulazimika kukifata mbali,ukipata
hicho kitu hiyo ndo biashara yako na hakika utapiga hela sana mpaka wengine waje wakuige wewe utakuwa mbali
sana. Pia unaweza angalia mazingira mengine mfano mahali unapotumia muda mwingi kukaa angalia hilo eneo lina
uhitaji gani,eneo lolote tu lichunguze lina uhitaji ganiukitumia hiyo fursa vizuri umetoka.Usijali hata kama
hiyo biashara unaona si hadhi yako wewe fanya usione aibu hapo ndo mafanikio yako.Pia unaweza angalia ujuzi gani ulionao,huo ujuzi ugeuze uwe biashara wekeza hapo utaona matunda yake.
kuna jamaa anajiita Kigogo
anjifanya anahela sana
Nunua chupa kubwa za chai, uza uji wa ulezi sehemu zenye mikusanyiko yawatu wengi kama vituo vya daladala n.k. Uza asubuhi na jioni soon utakuwa kama Bakhresa.
Kwahiyo ushauri wako kwa Mwinjuma ni upi?