Hii kiboko, ntakugonga like nikiwasha PCduh hongera ndugu ss hiyo kitu mbali na kujojoa unaitumia kuanikia nguo au?
acha uoga tafuta shost uamshe shimo haliunguzi kama wanavyokutisha..........
ni kweli kuna madhara maana mbegu zitakomaa na kugeuka za ubuyu
Kifupi ni hivi hakuna madhara yoyote yanaweza kukupata kama usipofanya mapenzi muda mrefu. Ila ili uweze kushinda inabidi umjue Mungu sana na kuogopa kutenda dhambi vinginevyo majaribu yatakuandama na unaweza kushindwa.
Kazana kusoma kama bado hujamaliza chuo na ujitahidi ufaulu ili upate kazi ya maana itayokupa mke mzuri maana hao wadada siku hizi hawakubali bila kazi ya maana.
Questioning ni namna ya kuelewa, sio lazima awe anadoubt. Na nikweli kwamba in certain circumstances abstinence inaweza kuongeza tensions, hasa kama sio ya hiyari. kwa hiyo amefanya vizuri kuuliza.
Kwa mtoa mada: Hongera sana kwa uamuzi wako wa kujichunga hadi utakapo oa.Kama ni personal choice hakuna ubaya.
But let's wait for more explanations on madhara/faida from great thinkers.
Ahsante Mkuu!! Ntawezaje kujizuia/kuepuka kufanya mpaka mda utapofika nikiwa na mke wangu.Mazingira ni magumu sana, na hizi sperm huwa zinajaa mpaka zinatoka zenyewe hiyo nayo c ni kama automatic musterburtion ambayo nayo nasikia nidhambi pia?