Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

Hivi unaishi Planet Earth? Ajabu kupatikana mvulana au msichan hapa Tanzania kufikia umri huo bila ya kujaribu ngono. Hasa ukiwa unaoshi uswahilini. Kwenye michezo ya kitoto kama makida makida, rede baba na mama lazima utakuwa umona, umegusa au hata kupapasana utupu. Unless kama umelelwa peke yako porini na huko pia utaona wanyama wakijamiiana na utajaribu. If not hati kwa kumogopa muumba wako, kwani amekupa silaha ajili ya nini? Na kumbuka unapokuwa mtoto unahesabika kuwa ni malaika na huna dhambi. Ndugu yangu kuwa mkweli na usijidanganye mwenyewe.
ONLY THE TRUTH SHALL FREE YOU OF YOUR BURDEN
 
All the best! Usifikiri kuna la ziada unalokosa. Ni mambo ya kawaida tu ndani ya kufanya mapenzi.
 
Was joke mkuu, nimei delete
 
we ni mangare kweli piga kazi kijana wacha uzembe wa kufuata biblia utakufana utamu waako

Nazidi kuamini ktk msafara wa mamba na kenge na mjusi wamo mkuu ww humu jf ni sawa na mjusi maana nisingependelea kuona mtu anatoa ushauri usiokuwa na kichwa wala mkia kama ulivyotoa, pls badilika
 
Hakuna madhara ya aina yoyote ile ila utapoamua kuanza kukutana na Mwanamke hakikisha unatumia kinga ili kuepuka kuambukizwa magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo ukimwi na pia kuepuka mimba zisizotarajiwa.

Kuambua kwake kukutana na mwanamke ni pale atakapoamua kuoa so sidhani kama hizo zana zitakuwa applicable any more
 
Hey dnt doubt, am 30.am expectng to start doing it ths yea on may afta my weding
 
Piga nyeto ili usiwe unachafua shuka.
 
Nazidi kuamini ktk msafara wa mamba na kenge na mjusi wamo mkuu ww humu jf ni sawa na mjusi maana nisingependelea kuona mtu anatoa ushauri usiokuwa na kichwa wala mkia kama ulivyotoa, pls badilika

thanx shine.
 
Usiogope young mæn! Mi nilianza nikiwa na 27 years na ckupata madhara yoyote yale in that time....xo mwamini muumba wako na keep on waiting til u decide to hav ha!
 
I is better if you are preserving the Allah's command,that if you are not married you are not allowed to perform that action,but if not preserving Allah's wish what is the problem with you or you are still too young?
 
Usiogope young mæn! Mi nilianza nikiwa na 27 years na ckupata madhara yoyote yale in that time....xo mwamini muumba wako na keep on waiting til u decide to hav ha!

thanx man!
 
I is better if you are preserving the Allah's command,that if you are not married you are not allowed to perform that action,but if not preserving Allah's wish what is the problem with you or you are still too young?

thanx man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…