Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

oi. .. Mimi Nimewahi kufanya Mapenzi Toka Nazaliwe!
 
Mkuu madhara yapo mengi sana lkn mengi ni ya kisaikolojia.Kama ni msikilizaji wa RFA kuna dr huwa anajibu maswali na swali kama hilo alishawah jibu.

MADHARA
1-wengi huwa na hasira
2-kuwa na wasi wasi
3-kuwa kunguru/domo zege(mwoga,hajiamin,huwa na aibu pindi akutanapo na jinsia tofauti)
3-sehemu za siri kupungua size yake
4-wengi huwapatwa na tatizo la nguvu za kiume,kuwahi kuejaculate
5-kuwa na wasiwasi pindi ukutanapo au kukaribiana na mwanamke kwani uume husimama mara kwa mara hivyo kukukosesha raha ,uhuru
6-kutokukua kiakiri ya mapenzi /yakutegemewa
7-mda mwingine akili huwa inavurugika na kuwa na mambo ya ajabu ajabu sana kama kupiga makelele,mayowe,kushanga shangaa,kuzuba zubaa na kucheka cheka ovyo

kwa kifupi madhara yapo mengi sana na mengi ni ya kisaikolojia
 
Agizo la Mungu halijabadilika liko vilevile, wewe endelea kukaa hivo tu bila kukutana na mwanamke yeyote hadi utakapooa. ukifuata maneno ya watu wengine utapotea. Na hakuna madhara yoyote ya kukaa hivo na kama yapo basi Mungu atayaondoa kwako
Kwa maelezo zaidi sikiliza WAPO Radio 98.0 Fm Jumapili saa nne usiku na jumattu saa sita mchana
Thanks
 
mfano halisi kunihusu mimi mwnyewe, sasa nina mke na nategemea mtoto majaliwa yake mungu, mpaka nafikisha miaka 30 nilikuwa sijakutana na mwanamke yeyote. Sina madhara yeyote nilikuwa na wasiwasi kama wewe lakini tegemeo langu alikuwa mungu. Hongera sana mkuu

​mvumilivu hula mbivu
 
Angalia usije ikapigwa nao.
walio jizuilia kuowa wengi wameolewa wao na wengine wameishia kuwananihii watoto, nawao walidai hovyohivyo kwa ajili ya maagizo ya Mungu.
 

Ur 100% SAFE; hakuna madhara yoyote.
 
Ur 100% SAFE; hakuna madhara yoyote.

Ngono (tendo la ndoa) ni kwa wenye ndoa TU. Subiri mpaka ufunge ndoa ndio ufanye tendo la ndoa. Dini zote zinazuia hilo iwe ni kwa wakristo au waislam. Zingatia.
 


Ngono (tendo la ndoa) ni kwa wenye ndoa TU. Subiri mpaka ufunge ndoa ndio ufanye tendo la ndoa. Dini zote zinazuia hilo iwe ni kwa wakristo au waislam. Zingatia.
 
heh!basi umejitahidi sana umeweza kuonesha udume wako!tafuta mke uoe utakufa wewe!
 
Hamna madhara kwa kutokufanya mapenzi. Tena unakuwa na uhakika wa usalama wa afya yako kwa asilimia kibaao.
Kikubwa ni wewe kufahamu kuwa usitarajie kuwa utakapotaka kuoa utampata ambaye hajafanya. Perhaps your wife to be yuko mahala na masela wanamega ile mbaya!
 

so vizuri Chris_Mambo hapo nilipokoleza. Huyu kijana ni mfano. Mimi wamemjaza mdogo wangu mimba. Sasa huyu jamaa anasaidia kupunguza maasi. Tunataka vijana hawa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…