Habari zenu wakuu.
Mimi Nina miaka 23 nina mpango wa kuanza maisha Dar ila sijawahi kufika nilikuwa Nina omba ushauri maeneo gani ya dar yenye vyumba vizuri vya 30000 au chini ambavyo sio uswahilin sana ili niweze kufikia Mimi hela niliyonayo ni 500000 kuanza maisha ya geto Dar.
Hapo nikifika ninunue kigodoro nilipe kodi chakula cha kutosha jiko la gesi nianze kusaka maisha Sasa.
(MIMI SIO MWANDISHI MZURI 😁🙏)