Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Basi wewe huli kwa urefu wa kamba yako!Na pengine sii chawa pia.Familia, hii kitu kuna wakati inanikera. Kiasi kwamba siku hizi nikiona mzani mbele yangu nahisi kama nimeona adui.
Iko hivi, urefu wangu ni 182cm, uzito wangu sasa...58kg.
Aisee, maisha yangu yote sijawahi kuvuka hiyo kilo 58, sanasana kuna wakati nashuka mpaka kilo 56.
Natamani sana kuongezeka uzito, angalau na mimi niwe na hata kilo 60. Nini nifanye kuongeza uzito!?
NOTE: Sina ugonjwa sugu wowote, siumwi mara kwa mara, ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijakanyaga hospitali.
😂😂😂Basi wewe huli kwa urefu wa kamba yako!Na pengine sii chawa pia.
Nakula sana!Kula ugali mkubwa
Hii nafanya sana.kunywa supu na chapati kila asubuh
Hapa sijawahi kufikiria, ila kama inaweza kunifikisha katika 60kg, nadhani nitajaribu.kisha usukutue mdomo na kama safari mbili za baridi
Muda wa kupumzika napata.pata muda wa kupumzika
Nina stress za kiwango cha kawaida tu, sidhani kama zinaweza kuwa na impact kubwa kwenye uzito wa mwili wangu.achana na stress za mapenzi na mikopo
Basi kula bia bwasheeNakula sana!
Hii nafanya sana.
Hapa sijawahi kufikiria, ila kama inaweza kunifikisha katika 60kg, nadhani nitajaribu.
Muda wa kupumzika napata.
Nina stress za kiwango cha kawaida tu, sidhani kama zinaweza kuwa na impact kubwa kwenye uzito wa mwili wangu.
Nimeoa.Mtoa maada umeoa kwanza?
Shida niko UNDERWEIGHT mkongwe, uzito wangu na urefu wangu haviendani kabisa.Ushauri wangu ukipata fursa ya kunenepa usiitumie, Muulize chid Benz
Daaaah.Hujakaa sehemu ukalamba asali Wewe, Hakuna Mtu mwembamba
Kula Vizuri mzee Tena in excess uzito lazima ujeDaaaah.
Kwahiyo unasema niendelee kukaza msuli katika utafutaji!?
Mkongwe, nielekeze hiyo KULA VIZURI.Kula Vizuri mzee Tena in excess uzito lazima uje