Duu!Zama DM nikupe namba utume elfu kumi nikupe diet yangu inayonifanya niitwe kapipa na wanakijiji maana nina kitambi kikubwa na nimekuwa kafupi kama tule tuwatu twa Congo.
Kilo tisini na nane
Kama hutojali, taarifa zako za kifamilia, kikazi na hata uchumi wakoNOTE: Sina ugonjwa sugu wowote, siumwi mara kwa mara, ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijakanyaga hospitali.
Huo uzito wake ni wa hovyo kwa mwanaume ,ajaribu kuupandisha kidogoUlicho nacho wewe (uzito mdogo) tupo tunaokitafuta kwa jasho na damu na tusikipate,shukuru upo hivyo uzito mkubwa siyo afya ni mateso.
Mimi miaka 13 nyuma nilikuwa nakomea 67 kirudi 65 but majuzi hapa nikajikuta nipo 86+ nimejiwekea ratiba ya mazoezi kwa week nimezikata shida uzito umesimama kwenye 74 nimepambana navyopambana hata 70 nimeshindwa kuigusa.
Chini ya 50 tena kaka!?Chini ya kg 50 wewe ni Kuku au Mwewe?
Upo sahihi kabisa kaka, huu uzito ni uzito wa kike!Huo uzito wake ni wa hovyo kwa mwanaume ,ajaribu kuupandisha kidogo
Wa walimbwende wa taji la u missUpo sahihi kabisa kaka, huu uzito ni uzito wa kike!
Hizo kilo 70 nikifikisha nitafanya sherehe!Niliwahi kuwa na tatizo hilo ingawa wewe kwako ni kubwa zaidi. Nina urefu wa 180cm ila nilikuwa na 70kg.
Acha kuniumiza moyo basi mkongwe!Wa walimbwende wa taji la u miss
Familia: Mke na mtoto mmoja.Kama hutojali, taarifa zako za kifamilia, kikazi na hata uchumi wako
TIba yako ni ya bei mbaya sana mkuu!?Una ela mkuu?
Nimecheka sana!Kuna watu hata wakilowekwa kwenye mafuta wakitolewa bado wamepauka tu.
Mkongwe, hiki nacho kinanitafakarisha, nawaza hivi ikitokea nimepigwa homa iliyochangamka, ile mfululizo itakuwaje.Wembemba sana nao siyo dili ,ukipigwa na upepo wa magonjwa tu IMOOOOOO hautoboi.
Mkuu yawezekana huo ni mwili wako kabisa usijistress sana. Kwa namna hivyo vitu vimejipanga inaonesha huna stress sana na nature ya kazi haikutaki upoteze energy nyingi kukupelekea kuwa na hamu sana ya kulakula.Familia: Mke na mtoto mmoja.
Kazi: nimeajiriwa, private company.
Uchumi: Uchumi wa kati.