Sijawahi kufikia wala kuvuka uzito kg 60!

Bia mbili kila siku jioni na kitimoto nusu na ndizi rost au ugali .

Bia Anza kunywa Kilimanjaro lager
Aaaah, hii ipo ndani ya uwezo wangu kabisa!
Naanza kuifanyia kazi kesho hii, japo hili suala la bia litaleta vita ndogo na wife, ila tutajuana mbele kwa mbele huko!!!


Nimefikaje huku mkongwe!?
Leo kuna ofisi tulienda katika mambo ya utafutaji, kwenye ile ofisi tukakuta kuna mzani, vijana wenzangu niliokuwa nao wakaomba wawashiwe mzani ili wapime uzito wao, kila mmoja akawa anapima uzito kwa mbwembwe, ila mimi nikawa hata sina habari, niko bize na mbanga zangu, bwana weeeh, ubize wangu wala haukunisaidia kitu.
Jamaa wote walivyomaliza kupima uzito wakaanza kuniita na mimi nipande juu ya mzani ili namba za uzito wangu zisome. Daaaaah, ilikuwa noma sana mzee.
Baada ya ghasia za hapa na pale kinyonge sana nikapanda juu ya mzani, lahaula 58kg ikadisplay kwenye mzani, baada ya hapo kauli za jitahidi kula sana zikasikika na vicheko vya hapa na pale.
Nikajisemea kimoyomoyo, HII HAIKUBARIKI.
 
Acha kutomba tomba hovyo.

Kula wanga hasa wakati wa usiku bila kusahau nyama maziwa na pombe za nafaka(bia).
 
Sababu ya msingi ya mimi kuwa na huu uzito siijui.

Yeah, mentally.
Kilo 58 ni uzito wa mtoto au binti, sio mwanaume mwenye urefu wa karibia futi 6.
Kama hauna sababu ya msingi just be grateful for what you have.

Kitu chochote ambayo hakina side effects kwako kwa namna moja au nyingine kipo sawa. Forgot about doctor's, Google and whatever is it uko sawa hauna shida ila ukianza kusikiliza watu lazima upate shida.

Penda sana kujisikiliza wewe mwenyewe kuliko watu. Ni haya tuu machache yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…