Sijawahi kuizoea sindano

Sijawahi kuizoea sindano

Sawa kabisa,mi toka utoto neno nilinukuu ni injection room ,yaani daktari akiandika hivyo tu.mi narudi home nikafe sawa.
Dawa nakunywa hata 100.
 
Huu ni mwaka wangu wa 30 toka mama angu mpendwa aliponileta duniani lakini wallah nawambia sindano haizoeleki.

NB mimi ni mkurya wa Mara sio mwanaume wa Dar.
Kafanye mazoezi na wagonjwa wa kisukari ya kujifunga sindano mwenyewe au mateja wa dawa za kulevya
 
sindano ya dawa napenda nichomwe nipone haraka kuliko kumeza vidonge.
uoga wangu kuendesha gari na pikipiki na baiskel. nilipata ajali mara 8 ktk maisha yangu ya hivyo vyombo toka udogo mpaka utu uzima wangu.
wanasema motorphobia
 
Back
Top Bottom