Sijawahi kukutana na mdada anaitwa "KOKU" au "NATASHA" alafu awe ametulia😁

Tuwekee basi historia yake
Jamaa ni mwalimu wa sayansi kwenye shule Moja ya kata, sasa kutokana na tabia yake ya ushoga akamtongoza mwanafunzi mmoja wa form there ili apate kukunwa, siku waalimu wameenda kucheza na wanafunzi uwanjani yeye akatumia fursa hiyo kupigwa miti ofisini, isivyobahati wakafumaniwa 🤣

Alifukuzwa ualimu na sasa ni bodaboda 😁
 
Kant... Ombe sio 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…