Sijawahi kukutana na mdada anaitwa "KOKU" au "NATASHA" alafu awe ametulia๐Ÿ˜

Yes akina koku wanamaumbo ya kisukuma,ila Natasha wengi ni wakishua,mayai mayai sana
 
Natasha hili jina lifutwe dah asee noma sana asee
 
Uongo, kufukuzwa kazi imekua rahisi hivyo?
 
Natasha ni watukutu ila wanapenda sana.

Ila koku ni pasua kichwa
 
Uongo, kufukuzwa kazi imekua rahisi hivyo?
Unashangaa nini, yaani mwalimu wa kiume akutwe anamegwa jicho la tatu ofisini na mwanafunzi wake halafu kuwe na mjadala?! Kibaya zaidi yeye ni mtumishi wa serikali.

Alifurushwa mbona...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ