donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
VP waimba Kwaya wao huwa unawaelewa Kidogo?
Ndio mkuuVP waimba Kwaya wao huwa unawaelewa Kidogo?
Noma sanaImagine angetakiwa awe anafight mwenyewe kama wakina Mavoko enzi hizo au Jimmy Chansa sasa hivi
HahaMi tungo zake tu hoi......waimba kaswida wenzie tunamuelewa.tukimuelewa wachache inatosha pia.
[HASHTAG]#bora[/HASHTAG] tuachane
[HASHTAG]#teja[/HASHTAG] wa mapenzi
[HASHTAG]#dede[/HASHTAG]
[HASHTAG]#atatulia[/HASHTAG]
Zimeenda skuli.....ukijumlisha na hiyo kanimaliza
[HASHTAG]#kilio[/HASHTAG]
Nahisi ni ubini wake mkuuLavalava ni jina lake au ni a.k.a tu?
Basi Mkuu bora uwasikilize hao wanaokupa Amani ya Moyo.., achana na huyo na huyo Mghani wa Kaswida!!!Ndio mkuu
Kma, zp mkuuHuwa nazielewa sana ngoma za huyo kijana
La ubatizo wa maji mafupi mkuuLavalava ni jina lake au ni a.k.a tu?
Hapana ni tathmini tuLavalava nyimbo zake zinapigwa sana mtaani sielewi kwa nn jamiiforum uwa mnampondeq